Shebby

See you next time

Saturday, 29 January 2011

Fine Jokes


Its funny,Would any friend of you like us?
We love you all people.

Maisha Bora kwa Tanzania

Ikumbukwe mwaka 2005 wakati wa kampeni zake za kutaka kuingia ikulu,Jakaya Kikwete kama wenyewe wanavyo muita JK,aliahidi mambo mengi sana kwa watanzania na moja wapo ni ule mchezo wa kuigiza wa MAISHA BORA KWA TANZANIA na matokeo yake ni maelfu ya Watanzania kuwa na hali duni zaidi ya alivyo wakuta na isitoshe kuongeza riziki kwa watendaji wake naye kujiongezea shutuma lukuki,ufisadi bank kuu,richmond na hata mambo mengine yaliyofichika na kufichuliwa na mitandao ya nje ya nchi kama ule mtandao maarufu wa wikileaks.


Is this what Jakaya Kikwete who is said to be the President of the United republic of Tanzania promised as goodlife to the Tanzania civilians? 

Je Haya kweli yanaweza kua maisha bora kwa raia wa kitanzania kama ilivyoahiiwa na kikwete na serikali yake ya CCM?